PICHA : WAPENZI WAKICHINA WACHUMBIANA MCHEZONI ( OLYMPIC - RIO ) .. NA MACHOZI TELEE -- NZURII HII

Wachina wachumbiana michezoni Rio De Janeiro

Muogeleaji wa Kichina He Zi alikuwa amepokea medali yake ya fedha katika mchezo wa Springboard katika michezo ya Rio ya Olimpiki siku ya jumapili.
Lakini alipata zawadi nyengine wakati mpenzi wake Qin Kai mbele ya matangazo ya runinga yaliokuwa yakipeperushwa duniani kupiga goti moja na kumchumbia.
Kwa bahati nzuri ,Qin ambaye yeye mwenyewe alishinda medali ya shaba alikubali.
''Tumekuwa wapenzi kwa miaka sita ,lakini sikudhani kwamba atanichumbia leo'',alisema.
Amesema kuwa :Vitu vingi vilileta ahadi nyingi ,lakini kitu kilichonigusa zaidi ni kwamba huyu ndio mtu ninayeweza kumuamini kwa maisha yangu yote.

Wachina wachumbiana Rio de janeiro

Wachina wachumbiana Rio de janeiro

Wachina wachumbiana Rio de janeiro

Wachina wachumbiana Rio de janeiro

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.