VIDEO: MWILI WA PAPA WEMBA ULIVYOWASILI KINSHASA CONGO. RIP PAPA WEMBA
Congo DRC na Afrika kwa ujumla iko kwenye msiba wa mwimbaji mkongwe mzaliwa wa Congo DRC Papa Wemba ambaye alifariki alipoanguka akiwa anatumbuiza jukwaani huko Abidjan Ivory Coast, mwili wake ulisafirishwa mpaka nyumbani Kinshasa Congo DRC tayari kwa maziko kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.
RIP PAPA WEMBA
VIVA WEMBA!!!!
No comments:
Post a Comment