Breaking News, Magufuli afanya kweli..
Breaking news
RAIS WA TANZANIA MH. DK. JOHN POMBE MAGUFULI ATAJA MSHARA ANAOLIPWA KAMA RAIS.
Mh. ameeleza kwamba mshahara wake anaolipwa na ndio ambao ameukta ni million 9 na laki 5, (9.5). Rais Magufuli amelazimika kusema hayo wakati wa kipindi cha magazeti cha clouds #360, akizungumza na mtangazaji wa kipindi hicho anayeitwa Hudson kamoga.
Pia Rais magufuli amehaidi yupo tayari akirudi likizo yake yupo tayari kuonesha nyaraka za mishahara yake kama kielelezo cha mshara wake anaolipwa, Alisema Rais Magufuli hii leo.
John Joseph Pombe Mgufuli ameanza rasmi kazi hii ya uraisi 2015 baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika October 2015, ambapo kwa muda wake mfupi aliokaa ikulu ameshafanya mambo makubwa tu, ambapo wananchi wengi wakiongeza imani naye, alitoa wito wa wananchi kulipa kodi na kuaidi kupunguza mishara minono kwa wafanyakazi wa umma
Tanzania hivi sasa imepata piga baada ya wafazili wake kusitisha misaada yao kwa nchi hiyo, ikiwe ule wa Trillion 1 kutoka MCC, Rais Magufuli ametia wito ya kwamba Tanzania sio nchi ya kutegemea misaada, inaweza yenyewe.

No comments:
Post a Comment