Mh Temba atoa video ya nyimbo yake mpya inayoitwa Fundi...chek it here

ENTERTAINMENT  

1 April 2016
USIJIULIZE NI MARA GANI YA MWISHO UMEMUONA MH. TEMBA KWENYE VIDEO, HII HAPA VIDEO YAKE MPYA YA FUNDI...
 NDANI KACHEZA NA MREMBO NELLY KAMWELU



Tazama video mpya ya Mh. Temba ya wimbo wake mpya unaoitwa Fundi na ukishatazama usisahau kuniachia comment yako hapo chini ili Temba akipita hapa ajue mashabiki wake wameipokeaje nyimbo yake hiyo mpya... baada ya kupotea kwa muda kwenye macho ya watu wake wa nguvu.

Nimekuekea video hiyo hapa chini...



No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.