MUSIC : NIMEKUEKEA HAPA WIMBO WA " MALKIA WA NGUVU " . - HAPPY WOMEN'S DAY

Leo ikiwa siku ya Wanamke Duniani baadhi ya wasanii wakike hapa nchini Tanzania, wameungana na kutengeneza huu wimbo umbao umepewa jina la “Malkia wa Nguvu”, huu wimbo umeandikwa na wasanii Ditto na Amini, Producer Ema the Boy.
No comments:
Post a Comment