PICHA: MWILI WA MWANAMZIKI PAPA WEMBA UMEWASILI CONGO
Mwili wa aliyekuwa nguli wa muziki Papa Wemba umewasili leo nchini Congo kutoka Ivory Coast alipo fariki akiwa katika steji katika mji wa Abidjan akiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wake.
Papa Wemba alifariki mnamo tarehe 24 siku ya jumapili na mazishi yake yatafanyika siku ya baada ya kuagwa jana mjini Kinshasa ambapo mamia ya waombolezaji wengi walijitokeza kuupokea mwili wake siku ya tarehe 28 april. Mazishi yanatarajiwa kufafanyika siku jumanne tarehe 3 May
Mwili wa aliyekuwa nguli wa muziki Papa Wemba umewasili leo nchini Congo kutoka Ivory Coast alipo fariki akiwa katika steji katika mji wa Abidjan akiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wake.
Papa Wemba alifariki mnamo tarehe 24 siku ya jumapili na mazishi yake yatafanyika siku ya baada ya kuagwa jana mjini Kinshasa ambapo mamia ya waombolezaji wengi walijitokeza kuupokea mwili wake siku ya tarehe 28 april.
Mazishi yanatarajiwa kufafanyika siku jumanne tarehe 3 april ambapo kutakua na wasanii wengi katka msiba huo baadhi yao ni Nyoka Longo, Maika Munan, Koffi Olomide, Werra Son, Tshala Muana, Fally Ipupa na wengine wengi.
Marehemu Papa Wemba |
Baadhi ya washabiki wa Marehemu Papa Wemba wakionesha majonzi yao |
Wasanii Ivory Coast wakiwa wanauwaga mwili wa PapaWemba mjini Abidjan |
No comments:
Post a Comment