VIDEO : MANENO YA MAGUFULI ALIPOKUTANA NA LOWASSA
Raisi wa awamu ya tano Dr John Joseph Magufuli jana alipata nafasi ya kukutana ana kwa ana na aliyekuwa mpinzani wake Edward Lowassa aliekuwa anagombea uraisi kupitia ticketi ya UKAWA katika Jubilee ya miaka 50 ya ndoa ya raisi mstaafu William Mkapa, na haya ni maneno ambayo Dr John Magufuli aliyasema alipopata nafasi ya kuongea:
No comments:
Post a Comment