ALIKIBA APATA SHAVU KWENYE TUZO ZA MTV MAMA AFRICA MUSIC AWARDS ZINAZOFANYIKA OKTOBA 22 ( S.A)

ddddd

Alikiba ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za MTV MAMA huko Johannesburg, Afrika Kusini.

Kupitia mtandao wa Instagram wa meneja wa msanii huyo, Seven Mosha ameweka picha ya msanii wake huyo na kuandika ujumbe unaosomeka, “The King @officialalikiba is set to perform at the MTVAfrica Music Awards 2016 .”
Pia MTV Base wameandika: Yes,@OfficialAliKiba to bring that HEAT to the stage ðŸ™ŒðŸ™ŒðŸ™Œ.”
Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome, Jumamosi ya Oktoba 22, mwaka huu.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.