DESIIGNER MZEE WA " PANDA" ATAJA MZIKI ANAOFANYA, SIO WA RAP
Msanii Desiigner kutoka Marekani amefunguka na kusema kuwa mziki anao fanya siyo wa Rap, anaungana na Fetty wap katika swala hilo ambaye na yeye aliwahi kusema kuwa mziki anao fanya siyo wa Rap.
Desiigner mwenye miaka 19, alifunguka hayo kupitia video ya Tidal DNA series nakusema kuwa muziki wake anaoufanya sio Rap bali muziki wa msanii tu na amefunguka pia kuwa hata washikaji zake anaokaa nao hawamchukulii kama ni Rappers bali ni wasanii.
No comments:
Post a Comment