HII NI TUZO NYINGINE KUBWA ALIYOTAJWA KUWANIA ALIKIBA KAMA MSANII BORA KUTOKA AFRIKA
Majina ya wanaowania tuzo za MTVEMA, yametoka ambapo msanii kutoka Tanzania, Alikiba ametajwa kuwania kama msanii bora kutoka Afrika.
Tuzo za ( MTVEMA ) MTV Europe Music Awards ni tuzo za mziki za MTV barani Ulaya. Kupitia mtandao wake wa Instagram Alikiba ameeleza jinsi ambavyo mashabiki wake wanaweza kumpigia kura...
Kupitia ukarasa wake wa Instagram, Alikiba ameandika haya.....
No comments:
Post a Comment