TAZAMA PICHA : HARMONIZE NA WOLPER WAKIWA SERENGETI... HATARII TUPU
Wawili hao waliondoka Dar es salaam jumamosi hii (Septemba 10) na kuelekea Arusha kwa ajili ya mapumziko ya weekend na baadae kuungana na Rich Mavoko pamoja Raymond Jumatatu hii kwa ajili ya show ya Iddi Mkoani Tanga.
Wolper kupitia instagram aliandika: Asante Raj wangu kwa kunipeleka vacation… nime enjoy saana 
Harmonize.
Kwa upnde wa Abby ambaye ni mmiliki wa kampuni ya tour ambayo iliwapeleka ameandika:
The experience we had together was extremely amazing! I Was so impressed with the way you guys handle each other.
This left me with fond memories of the entire trip to Serengeti .Thank you so much for trusting #napandasafaris to plan for your vacation .Can’t wait for our next plans as we discussed and the preparations has started now!
Angalia picha zaidi.
No comments:
Post a Comment