PICHA: UNAWEZA KUSEMA NI NGUO YA NDANI LAKINI LADY GAGA AMEVALIA KWENYE TAMASHA NA KUWAACHA MIDOMO WAZI.
Hata kama ni fashion lakini hii ni mpya kutoka kwa bibie Gaga ambaye alitokelezea katika maonesho ya fashion mapema jumanne ya jana,
Tamasha hilo pia lilihudhuriwa na mastaa wengine wengi akiwemo mwanamitindo maarufu Naomi Campbell, Jussie Smollett, Brandon Maxwell, Stephen Gan, Inez van Lamsweerde na wengine wengi.
Lady Gaga anayefanya mziki aina ya Pop Marekani, ameshangaza watu kutokana na kivazi chake alichovaa kwenye maonesho ya mavazi ya New York Fashion Week show, Jumanne hii.
Tazama picha hizi....
No comments:
Post a Comment