KUJAZA DODOSO LA BODI YA MIKOPO ( HESLB ) KWA WANUFAIKA WANAOENDELEA BOFYA HAPA
Kujaza dodoso za HESLB unatakiwa kuingia kwenye account yako uliyoifungua ulipokua unaomba mkopo wako mwaka wa kwanza, hapa nimekusogezea Link itakayokupeleka moja kwa moja katika hatua hiyo ya kujaza dodoso lako.
<<<<<<BOFYA HAPA>>>>>>
NB:
JAZA DODOSO LAKO KWA UMAKINI NA BILA HARAKA YOYOTE ILI USIKOSEE, PIA HAKIKISHA TAARIFA ZAKO UTAKAZOJAZA SASA HAZITOFAUTIANI NA ZILE ULIZE JAZA KWENYE ILE FORM YA MKOPO ULIPOKUWA UNAOMBA.
MUNGU WABARIKI WANAFUNZI WA VYUO VIKUU,
MUNGU IBARIKI TANZANIA.




No comments:
Post a Comment