SHISHI BABY ASEMA HAKUNA MSANII WA BONGO MWENYE VIGEZO VYA KUWA NAYE KWA SASA

Image result for shishi baby

Kwa mujibu wa Shilole, hakuna msanii Bongo aliye na vigezo vya mwanaume anayemhitaji kwa sasa.

“Hakuna hata mmoja,” Shilole alimjibu mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove aliyemuuliza kama kuna msanii wa Bongo kwenye vigezo anavyovitaka.
Awali alitaja vigezo hivyo kuwa ni, “Upate mtu ambaye anakupenda kwa dhati, mchapakazi, ambaye anajua kwamba maisha ni nini,” alisema Shishi.
Kingine alisema kuwa mwanaume huyo awe mrefu. Shilole alikuwa na uhusiano maarufu na Nuh Mziwanda kabla ya kuachana na kuwafanya wawe maadui kwa muda. Kwa sasa wameamua kuziweka tofauti zao pembeni.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.