DIAMOND, ALIKIBA , NAVY KENZO NA VANESSA MDEE WATAJWA KUWANIA TUZO ZA SOUNDCITY MVP

Majina ya wasanii watakaowania tuzo za Soundcity MVP 2016 yametangazwa. Diamond ametajwa kuwania vipengele vitatu, Vanessa Mdee viwili huku Alikiba na Navy Kenzo wakiwa na kimoja kimoja. 

Tuzo hizo zitatolewa kwenye ukumbi wa uliopo Eko Hotel jijini Lagos, December 29.
Chini ni category walizotajwa wasanii wa Tanzania:
15251712_1610525219253878_1095848394334666752_n
14561810_258505854564769_2190244488427864064_n
14574098_294966080897325_6854592178908299264_n
15101778_372308213104879_117012243631046656_n
15101791_1182887815113415_2740172040878161920_n

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.