KUTOKA | BUNGENI : GODBLESS LEMA ASEMA RAIS ASIPOJIREKEBISHA ATAKUFA

Image result for GODBLESS LEMA

Mbunge wa Arusha Mjini amesema kwamba amepata maono kwamba endapo Rais Magufuli hatabadilika basi atakufa. 

Akiongea jana bungeni Dodoma, Mh. Lema ameeleza kwamba wabunge pamoja na bunge hawana nguvu kwasababu ya uwoga walionao kwa Rais. Wabunge na Mawaziri wamekuwa wanafiki kitu kinachopelekea hadhi ya bunge kushuka.

Akizungumza ndani ya ukumbi wa bunge, Mh. Lema ameelza kwamba yeye ni mwombaji wa Mungu na ameonyeshwa asipobadilika atakufa. 

Nimekusogezea hapa video yenye sauti ya Lema akiongea...  


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.