LIVE | PICHA : MASIKITIKO MAKUBWA YAIKUMBA KAMBI YA HILLARY CLINTON



Timu ya Clinton ilitaraji kwamba mgombea wao angeshinda uchaguzi kama jana lakini matokeo ya uchaguzi yamewakosoa. 
 Mwandishi wa BBC Chris Gibson amekuwa akizungumza na wafuasi wa Clinton katika mkutano wake huko New York,akiwemo mfuasi mmoja ambaye alidhani kwamba matokeo hayo yangemfanya 'atapike'.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.