SERIKALI YAVIPA SIKU MBILI VYUO 14 AMBAVYO HAVIJATUMA BADO MATOKEO YA WANAFUNZI WAO BODI YA MIKOPO - HESLB

Image result for heslb

Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Maimuna Tarish imevitaka vyuo vikuu 14 ambavyo havijatuma matokeo ya wanafunzi wao ya mwaka uliopita kwa Bodi ya Mikopo kutuma mara moja ili kuwapatia mikopo kwa walio katika utaratibu wa kupata mkopo wa serikali.

Taarifa ambayo imetolewa na Tarish imevipa vyuo hivyo 14 siku mbili pekee kuhakikisha vinatuma majina kwa Bodi ya Mikopo na kuagiza viweke mfumo mzuri ambao utawawezesha kutuma matokeo kwa haraka.


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.