DIAMOND NA ZARI KUKAVA JARIDA LA "MAMAS & PAPAS" LA SOUTH AFRIKA

15276769_215105932269827_4517378316247760896_n

Wakati wakisubiri ujio wa prince kwenye familia yao atakayeungana na Princess Tiffah kutengeneza familia moja yenye furaha, Zari na Diamond walikuwa busy wiki hii kupiga picha kwaajili ya jarida la Mamas and Papas la nchini Afrika Kusini.

Kupitia Instagram, Diamond amepost picha hiyo juu na kuandika: Earlier today during our @MamasnPapasMag Shoot…. @zarithebosslady.”
Naye Zari kwenye picha aliyoweka kwenye akaunti yake ameandika: Earlier this morning while getting all glammed up for my baby bump photoshoot. My son could arrive any day from now😊👶.”
Jumatatu hii Zari alitarajiwa kujifungua. Mama mkwe wake, Sandra ameungana na mwanae kumsubiria mtoto huyo wa pili na wa kwanza wa kiume wa Diamond.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.