PICHA 20 : ZIARA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA KWENYE CHUO CHA UHASIBU ARUSHA


Leo tarehe 23 January 2017, Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Wa Arusha, MRISHO GAMBO ametembelea Chuo Cha Uhasibu Arusha - IAA, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kutembelea Vyuo vyote vikuu vilivyopo mkoani Arusha, akiwa na lengo la kujua changamoto mbali mbali zinazowakumba, ambapo mkuu wa mkoa alipata nafasi ya kusikiliza kero za wanafuniz wa chuoni hapo na kuwapa majibu ya kero zao. 

 PICHA NA : JESSE NGOTY 






















No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.