VIDEO : JINSI YA KUSHIRIKI DSE SCHOLAR CHALLENGE 2017, KUPITIA INVESTORS WEBSITE

Image result for dse challenge 2017
DSE SCHOLAR INVESTMENT CHALLENGE ni shindano ambalo limeandaliwa kwa ajili ya Wanafunzi wote wa Vyuo vya Elimu ya Juu na Shule za Sekondari Nchi Nzima

Shindano hili linaratibiwa na kuendeshwa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kila mwaka kuanzia tarehe 1 Aprili hadi tarehe 30 Juni.


Wanafunzi wanaweza kushiriki kwenye hili shindano BURE:
  1. Kupitia tovuti ya www.younginvestors.co.tz
  2. Kupitia Application ya Smartphone ya Leverage Scholar
  3. Kupiga namba ya simu ya *150*36#  

Hapa nimekueka video, jinsi ya kushiriki katika shindao hili kwa kutumia website ya >>> www.younginvestors.co.tz


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.