MABADILIKO YA SHERIA ILIOUNDA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA, IKIWA LILE LA KUBADILI JINA LA CHUO TO ..
#Workshop ya mabadiliko ya sheria iliyounda Chuo cha Uhasibu Arusha, moja kati ya mapendekezo yaliyoletwa ni kubadilisha jina la chuo.— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) May 29, 2017
Kutoka Institute of Accountancy Arusha to Institute of Accountancy and Management Arusha - #IAMA, serikali ya wanafunzi ingeitwa #IAMASO.— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) May 29, 2017
Kamati ilishindwa kupitisha jina hilo na kupendekeza lengine, Na hatimaye ikapata jina la #Arusha Institute of Management Science- AIMS— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) May 29, 2017
— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) May 29, 2017
Mapendekezo hayo ya mabadiliko ya sheria iliyounda chuo cha Uhasibu Arusha, Yatapelekwa kwenye #Baraza la Mawaziri kwa ajili ya kujadiliwa.— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) May 29, 2017
#IMPORTANT hayo yalikua ni mapendekezo ya mabadiliko ya sheria iliyounda chuo cha uhasibu Arusha, bado sio rasmi.!— Jesse Ngoty (@JesseNgoty) May 29, 2017
No comments:
Post a Comment