PICHA 15 : GRADUATION YA COMMAND AND STAFF COLLEGE AND INSTITUTE OF ACCOUNTANCY ARUSHA
June 24, 2017 imefanyika graduation ya 4 ya Command and Staff
College Duluti ambapo ni joint graduation kati ya IAA na Command ya Duluti... kutoka IAA wamegraduates course za Diploma na Post Graduates.
Mgeni rasmi alikua ni Waziri wa Ulizi Dr. Hussein Mwinyi na hapa nimekusogezea
picha kadhaa zikionesha ilivyokuwa katika graduation iyo….
No comments:
Post a Comment