HESABATI NA MCHEZO WA MPIRA,, ROMANIA WATUMIA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU KUFUNDISHA HISABATI...read more..

 ROMANIA WAJA NA NJIA MPYA YA KUFUNDISHA WANAFUNZI WAKE HISABATI KWA  KUTUMIA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU

Striker wa zamani wa Romania  Ivan Zamorano alivaa jezi yenye namba 8+1 mgongoni akiwa Inter Milan mwanzoni mwa miaka ya 1990 kutokana na jezi namba 9 kupewa mshambuliaji wa brazil Ronado de Lima

Timu ya taifa ya Romania imekuja na wazo la kuwasaidia watoto wa nchi hiyo kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye somo la Hesabu  baada ya kuchapisha jezi zilizobeba maswali ya hesabu mgongoni wakati wakiwa mazoezini.
Nchi hiyo inakiwango kibaya kwenye umoja wa Ulaya kutokana na watoto kuacha masomomo, takribani asilimia 18 (18%) ya watoto wamekuwa wakiacha shule.
“Hisabati na mpira wa miguu vimekuwa havishirikishwi”, amesema Rais wa shirikisho la soka la Romania Razvan Burleanu.
Kutokana na project hiyo, watoto watajifuna kanuni za mchezo wa soka pia watakuwa na fursa ya kutumia mbinu mpya za kuvutia kwa mara ya kwanza inchini humo kujifunza somo la Hisabati. http://shaffihdauda.co.tz/2016/03/28/romania-yagundua-mbinu-mpya-za-kufundisha-hisabati-kwa-kutumia-soka/
Romania-Maths
Timu ya Taifa ya Romania wakiwa mazoezini.. 


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.