BARCELONA YALIPIZA KISASI LEO, YAMFUNGA DEPORTIVO 8 : 0.
Baada ya kupokea kichapo kutoka Valencia,Atletico Madrid, Real sociedad
na kuondolewa katika michuano ya UEFA, vijana hao wamerudi dimbani
na kulipiza mechi walizokosa kwa kumfunga leo, usiku klabu ya Deportivo magoli 8:0
Magoli ya Barcelona yamefungwa na Luis suarez(4) dakika ya 11, 24, 53, na 63, Ivan Raktic(1) dakika ya 47, Lionel messi(1) dakika ya 73 na Neymar(2) dakika ya 79 na 81.
hii hapa video ya magoli & match highlights....
No comments:
Post a Comment