MH. RAIS MAGUFULI (JPM), ATAKI UTANI NA KAZI, AMFUKUZA KAZI MKUU WA MKOA LEO
RAIS MAGUFULI HII LEO AMFUKUZA KAZI MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ANNE KILANGO MALECELA.
April 11, Rais Magufuli katengeua uteuzi wa Anne Kilango Malecela kama mkuu wa mkoa Shinyanga pamoja na kiongozi mwingine mmoja ambapo utenguzi huo umeripotiwa kwamba ni baada ya kusema mkoa huo hauna Watumishi hewa…. tutaendelea kukupa taarifa zaidi juu ya habari hii,, hapa hapa ,, kaa karibu..
Mh.JPM alihaidi kuwa hataki utani katika kazi na hato sita kuondoa jipu lolote, moto wake ni mwanzo mzuri kwa utendaje mzuri wa umma.. taarifa nyingine kuhusu hii itakujia hapa hapa.. @ jessengoty
No comments:
Post a Comment