MR. BLUE AND ALIKIBA WAFANYA NYIMBO YA KIHISTORIA, MR. BLUE AMEELEZA
Hitmaker wa baki na mimi ambaye hivi karibuni aliuaga ukapera kwa kuamua kufunga pingu za maisha na mzazi mwenzake Wayda, ameamua kuvunja ukimya na kuzungumzia kolabo yake na msanii nyota kwa sasa Alikiba aliyoipa jina la Mboga Saba.
Mr. Blue amesema kuwa ngoma hiyo ipo tayari na anatarajia kuiachia wiki ijayo endapo mtayarishaji wa ngoma hiyo Man Water atamkabidhi, hivyo itakuwa rahisi kwake kuikabidhi kwa mashabiki wake.
No comments:
Post a Comment