MWAKA 2016, NAKUSOGEZEA NYIMBO ZA BONGO FLAVOR & HIP HOP ZILIZOTOKA TANGU MWAKA UANZE + VIDEOS.
ENTERTAINMENT
NAKUSOGEZEA NYIMBO ZA BONGO FLAVOR ZILIZOTOKA MWAKA HUU NA VIDEO 10 ZILIZOFANYA VIZURI KWA KIPINDI CHA MIEZI 3 ILIYOPITA.
12 April 2016.
Hii leo April 12, tunahesabu siku 102 tangu mwaka huu wa 2016 uanze, ni sawa na miezi 3 na siku 12 zimeshapita tangu tuanze mwaka huu. Mengi yameshafanyika na kutokea lakini hapa nataka kukuonyesha katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya yaani bongo flavor ni nini haswa kimetokea kwa muda wote huo.
Naanza kwa kukupa takwimu ya idadi ya nyimbo ambazo wasanii mbali mbali wa muziki huo wa bongo flavor wametoa katika industry, zimeshatoka nyimbo 180 kutoka kwa wasanii mbali mbali wa bongo flavor tangu mwaka uanze..
Nakusogezea video kadhaa zilizofanya vizuri kwa kipindi chote tangu mwaka uanze...
> DIAMOND PLATNUMZ - UTAPENDA > HARMONIZER FT DIAMOND PLATNUMZ: Bado, Imetazamwa mara 2,676,407
> NAVY KENZO- KAMATIA : Imetazamwa mara 673,629
> DOGO JANJA - MY LIFE : Imetoka 4 weeks ago, Imetazamwa mara 315,720
> DARASA FT RICH MAVOKO - KAMA UTANIPENDA : Imetazamwa mara 212, 470
> MWANA FA - ASANTENI KWA KUJA : Imetazamwa mara 316, 257
> ALIKIBA FT CRISTIAN BELLA - NAGHARAMIA : Imetazamwa mara 2,654, 218
> VANESSA MDEE - NIROGE
> G NAKO - OG
> RUBY - FOREVER
Diamond platnumz akiwa na nyimbo 05 mkononi, Ali kiba akiwa na nyimbo 03, Harmonizer akiwa chini ya label ya WCB, Dogo janja naye karudi na style mpya, Mwana FA akisema asanteni kwa kuja, Linah akisema nia yangu, Mrisho mpoto ft banana, Vanessa mdee, Stamina, Mr. blue. Rich mavoko, Mh. Temba naye karudi na nyimbo yake mpya "Fundi" na wengine wengi ikwepo Navy kenzo kamatia chini, Rubby, na wengine..

No comments:
Post a Comment