REAL MADRID, BBC WABADILI HISTORIA, RONALDO ANG'AA.

SPORTS UPDATES. 

REAL MADRID MBELE NUSU FAINALI ZA ULAYA: BBC WABADILI HISTORIA, RONALDO ANG'AA. 

Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa  April 12 2016 kwa michezo miwili kupigwa, klabu ya  Wolfsburgs kutoka Ujerumani ilisafiri kuelekea Hispania kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji wao  Real Madrid Santiago Bernabeu.

Mchezo uliopita April 6 2016  Real Madrid walikuwa na kumbukumbu ya kupokea kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Wolfsburg ya Ujerumani, hii leo Wolfsburg wamekubali kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya wenyeji wao Real Madrid, Magoli ambayo yamefunga na Cristiano Ronaldo katika dakika ya 16, 17, 77. nakufanya mchezo huo kumalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa jumla ya magoli 3-0.
NIMEKUSOGEZEA MAGOLI YA RONALD HAPA..... 

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.