RACHEL ROY AFUNGUKA KUHUSU JAY Z.





Rachel Roy ambaye ni Ex wa Damon Dash amekanusha kuwa yeye ndio  “Becky aliyeimbwa na Beyoncé kwenye wimbo wa “Sorry” kwenye album ya LEMONADE kwa kitendo cha kuchepuka na Jay Z.
Rachel amesema “Nataka uvumi wote uishe sasa, post yangu ya instagram ilikuwa kuhusu bata zangu sio Beyonce,watu walikosea kutafsiri ujumbe wangu, pia watu mitandaoni wanatusumbua mimi na mtoto wangu, wana hatarisha maisha yetu,wanatuonea na inatuathiri “.
Rachel alitajwa mapema kuwa yeye ndio Becky aliyeimbwa na Beyonce na kwamba kuna ushahidi alitoka na Jay Z.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.