OFFICIAL MUSIC VIDEO YA GALATONE "SAMAKI" IMETOKA LEO APRIL 22, NIMEKUEKEA HAPA MTU WANGU

Entertainment





kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya au mpenzi wa muziki lazima unaijua hii nyimbo inaimbwa, ntakupa samaki unikubalie, Mwanzon mwa week hii Galatone aliyo imba nyimbo hiyo alihaidi kutoa video ya wimbo wake huo,

official video hiyo imetoka leo Ijumaa, na mimi nimekusogezea karibu yako video hiyo upate kuiona wakwanza...........



No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.