VIDEO: VITUKO UWANJANI - MBWA AFANYA YAKE,.
Ilibidi mchezo wa Copa Libertadores kati ya Tachira na Pumas usimame kwa muda kidogo baada ya mbwa kuingia kwenye pitch, unaweza kudhani haiwezekani lakini tukio hilo limetokea Jumanne (April 26.)
Mbwa huyo alianza kukimbia na kuzunguka uwanjani akifurahia uhuru wa maisha huku baadhi ya wachezaji wakionekana kucheza naye na wengine wakimshangaa.
Baabaye mbwa huyo alitolewa uwanjani kupisha mechi hiyo kuedelea ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Tachira kushinda kwa bao 1-0.
Enjoy video hapa chini.
No comments:
Post a Comment