WEEKEND HII, NAKUSOGEZEA NYIMBO 10 KALI ZILIZOSIKILIZWA SANA WEEK NZIMA + VIDEOS

ENTERTAINMENTS. 
NAANZA KWA KUKUSOGEZEA WEEKEND HII NYIMBO 10(VIDEOS) KALII, ZILIZOSIKILIZWA SANA WEEK NZIMA.
by, Jesse Ngoty on 16 April 2016.



















REST IN PEACE NDANDA KOSOVO. 




Kwanzia Jumatatu hadi ijumaa nakusogezea nyimbo kalii zilizohit sana katika media kote ndani na nje ya nchi, ili kukuwezesha wewe kuenjoy ur weekend, kwanzia bongo flavor, hip hop na RnB... usiache kukaa karibu yangu kila jumamosi upate hii kwa ajili ya weekend yako. Enjoy your weekend....

1. work - Rihana ft Drake




2. Me, myself & I - G-EAZY x BEBE REXHA



3. Justin Beiber - Love Yourself




4. My House - Flo Rida



5. Dogo Janja. - My life



6.Ntakupa Samaki - Galatone


7. Harmonizer ft Diamond - Bado


8. Darasa ft Rich Mavoko - Kama utanipenda



9. Alikiba - Lupela










TM Enterprises, inatoa poleh kwa watanzania wote kwa msiba uliotokea wa muimbaji mahirii, ndanda kosovo, Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, AMEN.




DEDICATION: REST IN PEACE NDANDA KOSOVO.




# RIP










No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.