ATLETICO MADRID MBELE FAINALI YA MABINGWA ULAYA, ALL GOALS & MATCH PREVIEW (+ VIDEO )




Mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya klabu ya FC Bayern Minich dhidi ya Atletico Madrid umechezwa usiku wa Mei 3 2016 katika uwanja wa Alianz Arena Ujerumani, mchezo huo umechezwa Ujerumani  Atletico Madrid wakiwa wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa goli 1-0.
 Mchezo wa Alianz Arena umemalizika kwa FC Bayern Munich kuibuka na ushindi wa goli 2-1, ila hiyo haikuisaidi kutinga hatua ya fainali, kutokana kuwa na aggregate ya goli 2-2. Magoli ya FC Bayern yalifungwa na Xabi Alonso dakika ya 31 na Robert Lewandowski dakika ya 74, huku goli la Atletico lilifungwa na  Antoine Griezmann.

NIMEKUSOGEZEA HAPA VIDEO YA MAGOLI...

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.