VIDEO: NIMEKUSOGEZEA TOP 10 COLLABO ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI TANGU MWAKA UANZE.


Tupo mwezi May na hiyo inamaanisha kuwa tumeianza robo ya pili ya mwaka 2016. Mengi mazuri yametokea kwenye muziki katika robo ya kwanza. Leo nataka nizitambue collabo 10 za wasanii wa Bongo zilizotisha zaidi katika kipindi hicho. Katika orodha hii, zipo pia nyimbo za wasanii wa Tanzania waliowashirikisha au kufanya na wasanii wa nje....

1. AY f/ Diamond Platnumz – Zigo Remix




2. Harmonize ft diamond platnumz . - BADO



3. Diamond platnumz ft AKA - MAKE ME SING




4. ALIKIBA FT SAUT SOL - UNCONDITIONAL BAE




5. Darasa ft Rich mavoko - kama utanipenda




6. fid Q ft Taz - walk it off




7. Mzee Yusuf f/ Vanessa Mdee – Hewallah



8.P The MC f/ Jux – Na Mimi



9. QS International Music Band – So Hard




10. Cjamoker f/ Wakazi P The Mc, Ibrah One The Incredible & ZAiiD – CJAMOKER


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.