SERIKALI IMEIFUNGIA NYIMBO YA CHURA, YA SNURA " BANNED "



4 May 2016

Serikali imesitisha wimbo na video ya muziki wa Chura wa Msanii Snura kuchezwa kwenye Vyombo vya Habari nchini, mpaka pale atakapoifanyia marekebisho aliyoambiwa.

Kwa mujibu wa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Zawadi Msalla, amesema usitishwaji huo umetokana na maudhui ya utengenezwaji wa video ambayo haiendani na maudhui ya Mtanzania.

Pia serikali imesitisha maonyesho yake yote ya hadhara ya Msanii Snura mpaka pale atakapo kamilisha taratibu za usajili wa kazi zake za sanaa katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)


IMG-20160504-WA0010_2

IMG-20160504-WA0011

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.