SHILOLE : MIMI NDIYE MWANAMKE MREMBO KWENYE TASNIA YA MUZIKI TANZANIA



4 May 2016.

Msanii Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi


Akizungumza katika kpindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii, Shilole amesema yeye ana uzuri wa asili.
“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.
Katika hatua nyingine Shilole amekanusha kutoka kimapenzi na msanii Nedy Music, baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha wakiwa karibu zaidi na msahii huyo.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.