JE? SARAFU YA SH. 50,000 INAMAANISHA NINI? MAJIBU HAYA HAPA

Baada ya benki kuu kutoa sarafu ya 50,000 nimekusogezea taarifa hii kwa vyombo vya habari iliyotelewa na benki hiyo
Ambayo inaeleza kwamba hela hiyo imetengenezwa maalumu kwa ajili ya kusherehekea miaka 50 ya benki hiyo, ambapo sarafu hiyo ni kama ukumbusho katika maendeleo ya benki hiyo na haitatumika katika kufanyia malipo ( not declared as legal tender )
Taarifa hiyo kwa vyombo vya habari nimekusogezea hapa





No comments:
Post a Comment