AUDIO : MAJIBU YA GOBLESS LEMA KWA MWIGULU NCHEMBA ALIYEWAAMBIA CHADEMA WASITINGISHE KIBERITI MAANA SIO CHA NJITI, NI GESI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba amezungumza na kusema kuwa CHADEMA wasithubutu kuandamana kwani kwa kufanya hivyo si kuwa watakuwa wanatingisha kiberiti cha njiti, bali watakuwa wanachezea gesi. Amesema kuwa sio kila kitu mtu anatakiwa kujaribu kwa sababu vingine huenda vikakuumiza.
Kufuatia kauli hiyo ya Waziri, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema haya. Msikilize hapa chini.
No comments:
Post a Comment