CLIP : JE DIAMOND PLATNUMZ AMEFANIKISHA NDOTO YAKE YA KUNUNUA GARI AINA YA ROLLS ROYCE ?
Kupitia account yake ya instagram usiku wa August 30 Diamond Platnumz alipost clip video ya Rolls Royce yenye kivuli cha sura yake, inawezekana Diamond akawa ametimiza ahadi yake ya kumiliki gari hilo kabla ya mwaka 2016 kumalizika,
kama Diamond atakuwa kanunua gari hilo atakuwa ni mtanzania wa pili anayefahamika kumilikiRolls Royce baada ya makamu mwenyekiti wa zamani wa Yanga Davies Mosha.
Nimekusogezea clip iyo kutoka kwenye account yake ya Instagram ........Tazama .....
No comments:
Post a Comment