VIDEO : MWENYEKITI CHA CHADEMA, MH. MBOWE AMEHAIRISHA MAANDAMANO YA OPERESHENI UKUTA YALIYOTARAJIWA KUFANYIKA KESHO
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ametangaza kusitishwa kwa maandamano ya Oparesheni UKUTA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima.
Mbowe ametoa kauli hiyo ya kuahirisha maandamano mchana huu wakati akiongea na vyombo mbalimbali vya habari.
Amesema sababu kubwa za kuahirisha maandamano hayo ni busara zaviongozi wa dini ambao wameiomba Chadema iwape muda wa kutafuta Suluhu
Mbowe amesema maandamano hayo yameahirishwa hadi Oktoba Mosi
Msikilize hapo chini akiongea ..........
Viongozi waandamizi wa CHADEMA wakishikana mikono ishara ya UMOJA katika kikao na waandishi wa habari |
Edward Lowassa akiongozana na John Mnyika kuingia ukumbi walipo waandishi wa habari |
No comments:
Post a Comment