RAYVANNY ATOA VIDEO MPYA YA WIMBO WAKE WA "NATAFUTA KIKI ' NIMEKUSOGEZEA HAPA
Kati ya miongoni mwa waimbaji wa bongo wanaopewa sifa nyingi za utunzi na uimbaji kwenye bongofleva akiwa chini ya lebo inayomsimamia ya WCB ya Diamond Platnumz....
video imetoka leo jioni, ambapo wasanii kama Chege, Harmonize , Wema sepetu, wameonekana ...
Tazama video iyo hapa chini.... nimekusogezea hapa chini
No comments:
Post a Comment