BASI LA SUPER SHEM LAPATA AJALI LEO MKOANI MWANZA, LAUA 11 +PICHA



Basi la Super Shem linalofanya safari za Mwanza kwenda  Mbeya limepata ajari ya kugongana na hiace katika kijiji cha Hungumalwa Mwanza na kusababisha vifo vya watu  wanaodaiwa kufika 11 asubuhi hii.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, wanaeleza kuwa Basi hilo liliigonga gari hiyo ndogo ambayo iliingia kwenye barabara kubwa bila ya kuwa na tahadhali.. 










No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.