PICHA : RAIS UHURU KENYATTA ATINGA GENGENI KULA UGALI NA NYAMA CHOMA

yvutikrsb14an1luh957e0c818a4a89

Rais Uhuru Kenyatta amekichoka chakula cha ikulu ndio maana aliamua kujichanganya na Senator Mike Sonko kwenda gengeni kula ugali na nyama choma.

batjc4sr96kvo57e0c8c08a593

Sonko aliweka picha akiwa na waheshimiwa hao na kuandika: Together with President Uhuru Kenyatta, Hon Sakaja, Hon Madam Shebesh, Hon Kariuki we made a surprise stop at Kenyatta Market interacted with traders and later on my bestfriend and our President akasema anahisi njaa so I decided to buy lunch at one of the kiosks. Lazima tuinue biashara za watu.”

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.