IMPORTANT: MUST READ!!! TAARIFA YA KUSAINI FEDHA ZA KUJIKIMU ZA FIELD KWA WANACHUO WALIOKO MIKOANI
TAARIFA YA KUSAINI PESA ZA FIELD MIKOANI
1. Dar Es Salaam
Tarehe: 03/09/2016
Kituo : Dar Express/ Shekilango
Muda ; 09:00am - 2.00pm
Wanaotakiwa kusaini hapa ni wanachuo kutoka.,
- Dar
- Morogoro
- Zanzibar
- Mtwara
- Pwani
- Lindi
Na maeneo yote ya jirani.
2. Iringa
Tarehe: 07/09/2016
Kituo : Tutawajulisha
Muda ; 12:00pm - 6.00pm
Wanaotakiwa kusaini hapa ni wanachuo kutoka.,
- Iringa
- Mbeya
- Njombe
- Ruvuma
Na maeneo yote ya jirani.
3. Dodoma
Tarehe: 09/09/2016
Kituo : Shabibi bus stand
Wanaotakiwa kusaini hapa ni wanachuo kutoka.,
- Dodoma
- Kigoma
- Tabora
- Singida
Na maeneo yote ya jirani.
4. Shinyanga
Tarehe: 11/09/2016
Kituo : Shinyanga Bus stand
Muda ; 08:00am - 3.00pm
Wanaotakiwa kusaini hapa ni wanachuo kutoka.,
- Shinyanga
- Simiyu
- Geita
- Kahama
Na maeneo yote ya jirani.
5. Mwanza
Tarehe: 12/09/2016
Kituo : Gold crest
Muda ; 11:00am - 5.00pm
Wanaotakiwa kusaini hapa ni wanachuo kutoka.,
- Mwanza
- Musoma (Mara)
- Geita
Na maeneo yote ya jirani.
ZINGATIA HAYA :
- Njoo na kitmbulisho chako cha chuo (MUHIMU)
- Jitahidi kuwa kwa wakati maana siku zilizopangwa ni chache sana
IMETOLEWA NA:
MAAFISA WA MIKOPO VYUONI.
No comments:
Post a Comment