KAMA WEWE NI MTUMIAJI WA BARUA PEPE ZA KAMPUNI YA YAHOOO HII INAKUHUSU
Yahoo imedai kuwa hackers waliiiba taarifa kutoka kwa watumiaji milioni 500 wa mtandao huo mwaka 2014, na kufanya kuwa aniko la kimtandao kubwa zaidi katika historia
Udukuzi huo ulikuwa ni pamoja na kuchukuliwa taarifa binafsi yakiwemo majina na anuani za barua pepe pamoja maswali na majibu ya kiusalama ya watumiaji.
Yahoo wanaamini kuwa shambulio hilo lilidhaminiwa na nchi.
July, Yahoo iliuzwa kwa kampuni ya Verizon kwa $4.8bn. FBI imethibitisha kuwa inafanyia uchunguzi shambulio hilo
No comments:
Post a Comment