PICHA : KIMBUNGA MATHEW CHALETA MAFURIKO MAKUBWA MAREKANI...MAAFA MAKUBWA YATOKEA

Picha ya kupigwa kutoka angani yaonesha mafuriko Lumberton, Carolina Kaskazini 10 Oktoba, 2016.

Nimekusogezea picha zinazoonesha maafa yaliyosababishwa na mafuriko Carolina, Marekani yaliyosababishwa na kimbunga cha Mathew kilichoipiga Marekani. Tazama picha hizi

Kanisa lililofurika maji eneo la Lumberton, Carolina Kaskazini laonekana 11 Oktoba, 2016.

Mwanamume akitembea kwene maji ya mafuriko Lumberton, Carolina Kaskazini 10 Oktoba, 2016.

Afisa FEMA amsaidia mtoto na mbwa wake Lumberton, Carolina Kaskazini 10 Oktoba, 2016.

Flooded highway 95 is covered with water as a result of Hurricane Matthew in Lumberton, North Carolina, U.S. October 10, 2016

Jeremy Spearman atazama uharibifu uliosababishwa na mafuriko nyumbani mwake Raleigh, N.C. tarehe 9 Oktoba, 2016.

Ngome ya Pulaski


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.