NIMEKUSOGEZEA WIMBO MPYA UNAITWA " NISAMEHE " - BARAKA DA PRINCE FT ALIKIBA ,, SIKILIZA HAPA


Ni Single mpya iitwayo Nisamehe ambayo ilirekodiwa April 27, 2016  kwa producer Emma The Boy  na wakali kutoka kwenye lebel ya Rockstar 4000 Baraka The Prince na Alikiba ambapo leo ndio wameitambulisha rasmi katika vituo mbalimbali vya radio.


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.