TAREHE 13, ALI KIBA NA BARAKA DA PRINCE KUITEKA TANZANIA



Tanzania inatarajiwa kunyamaza kimya kwa muda mnamo Jumanne tarehe 13,  ni baada ya nyimbo mpya ya collaboration ya Ali kiba na Baraka Da Prince kuachiwa rasmi, ambapo kupitia katika ukurasa wa Baraka Da Prince na Ali kiba wameeleza..... 

Kutoka Instagram nimekusogezea hapa karibu yako.... alichoandika Ali kiba


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.