PICHA10 : CHRISTIAN BELLA ALIVYOWAKOSHA ROHO WAGENI WA RAIS MAGUFULI IKULU.. TAZAMA JINSI WALIVYOMMWAGIA MIHELA

imgs1015

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Jumanne hii alimwandalia dhifa ya Taifa, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam.

Shughuli hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkali wa masauti Christian Bella alikuwa mmoja kati ya wasanii ambao walialikwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya kusherehesha shughuli hiyo. 
Nimekusogezea picha kadhaa za shughuli hiyo na mambo yalivyotokea.....
imgs1144
imgs1035
imgs1043
imgs0902
imgs1040
imgs1032
imgs1015
imgs1021
imgs1025
imgs1054

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.